Tiba kwa matatizo mbalimbali ya kiafya

Tiba kwa matatizo mbalimbali ya kiafya

MoneyMakers

Member
Joined
Feb 25, 2008
Posts
64
Reaction score
9
EDMARK INTERNATIONAL HEALTH PRODUCTS

Insomnia (Kukosa usingizi) - Shakeoff, Splina & Redyeast

Fibroids (uvimbe tumboni) - Shakeoff, Splina & Gingseng

Hormonal Imbalance (kuvurugika kwa homoni) - Shakeoff, Splina & Redyeast

Colon cancer (bile) (saratani ya utumbo mpana) - Shakeoff, MRT & Splina

Hemorrhoids (bile) (kutokwa na nyama njia ya haja kubwa) - Shakeoff & Splina

Pyorrhea (uvimbe wa fidhi) - Splina

Infertility (matatizo ya uzazi) - Shakeoff, Splina & Ginseng

Stroke (kiarusi) - Shakeoff, Splina & Redyeast

Hypertension (presha ya juu/kupanda) - Shakeoff, Splina & Ginseng

Dipresion / hypotension (Presha ya chini/kushuka) - Shakeoff, Splina & Redyeast.

Heart Attack (mshtuko wa moyo) - Shakeoff, Splina & Red yeast

Kidney Failure (Matatizo ya figo) - Shakeoff, Splina & Red yeast

Immune system (kuongeza kinga) - Shakeoff, Splina, MRT&Red y

Diabetes (kisukari) - Shakeoff, Splina & Red yeast

Liver problems (matatizo ya Ini) - Shakeoff, MRT. Splina&Red ys

Arthritis (matatizo ya mifupa) - Shakeoff, Splina

High Cholesterol (mafuta/rehemu kwenye moyo/damu) - Shakeoff, Splina & Red yeast

Obesity (uzito uliozidi/vitambi) - Edmark P4 sliming programme

Arteriosclerosis (Kukamaa kwa mishipa ya damu) - Shakeoff, Splina & Redyeast

Heartburn (kiungulia) - Shakeoff & Splina

Menstrual pain (maumivu ya hedhi) - Shakeoff, Splina & Red yeast

Ulcers ( vidonda vya tumbo) - Splina, Shakeoff & Red yeast
(splina for 1 week before using shake off)

Asthma (pumu) - Shakeoff, Splina & Read yeast

Acne pimples & spots (chunus na madoa) - Shakeoff, Splina & Red yeast

Low Libido (kukosa hamu na nguvu ya kujamiiana) - Shakeoff, Splina & Ginseng

Waist Pain (maumivu ya kiuno) - Shakeoff, Splina & Ginseng

Skin allergy (aleji za ngozi) - Shakeoff, Splina & Read yeast

Migraine (kipanda uso) - Shakeoff, Splina & Ginseng

Severe headache (maumivu makali ya kichwa) - Splina & Plenty water

Gout (maumivu ya viungo) - Shakeoff, Splina & Red yeast

Low back pain (maumivu ya mgongo) - Splina

U.T.I. - Splina & Red yeast

Pregnant & Luctating mothers (wajawazito na wanaonyonyesha) - Splina & Red yeast

Karibu tukuhudumie kwa bidhaa ambazo ni chakula na virutubisho
kwa afya yako, wala hazina madhara yoyote mwilini. (ORGANICALLY PRODUCED AND PROCESSED)

VIRUTUBISHO hivi vimethibitishwa na

TANZANIA FOOD AND DRUGS AUTHORITY - TFDA
KENYA BUREAU OF STANDARD - KEBS
INTERNATIONAL STANDARD ORGANIZATION (ISO - 22000:2005)
MALAYSIA ISLAMIC COUNCIL AS HALAL PRODUCTS
GOOD MANUFACTURING PRACTICE - GMP
HAZARD ANALYSIS AND CRITICAL CONTROL POINTS - HACCP

Kutokana na namna ya upatikanaji na ununuaji wa VIRUTUBISHO hivi, tunaomba wenye kuhitaji wawasiliane nasi kwa taarifa zaidi juu ya bei, upatikanaji wake, ofisi, ELIMU juu ya AFYA BORA na kuonja radha na UBORA wa VIRUTUBISHO kabla ya kununua dozi kamili.

MAWASILIANO

0713 366 473

0767 277 223

DOTTO MIRAJI - Edmark Distributor.

Tembelea: www.edmarker.com for products images, ingredients/features and benefits.

USIKUBARI WALA USIRUHUSU MTU AKAFANYA MAAMUZI YA MAISHA YAKO KWA NIABA YAKO KATIKA MAISHA YAKO. NI KOSA UTAKALOKUJA LIJUTIA MILELE!

LET PEOPLE ADVISE YOU, BUT DO NOT LET THEM DECIDE FOR YOU!

KARIBUNI. FEEL LOVE NOW!
 
KARIBU MKUU CHOCS

CHUKUA HATUA kwa kuongeza maji kwenye mboga kabla haijaungua. usingoje mpaka iungue ndo ukumbuke kuongeza maji!!!!
 
Mkuu.@MoneyMakers Umetuwekea Dawa zako za Virutubisho na tiba mbali mbali lakini hujaweka Madhara yake wakati ukitumia hizo dawa yaani (Side Effects)? Tutakuamini kivipi Mkuu weka na mdahara yake Mkuu ninaomba majibu toka kwako Mkuu MoneyMakers
 
simu yenyewe haipatikani.

Dada Asumpta usiwe muongo! line zote zipo hewani. kama hazipatikani ni suala la mtandao. hivyo ni kiasi cha kujaribu tena na tena kwani ndo mitandao kribia yote imekuwa hivyo siku hizi. kupiga simu na kumpata mhusika imekuwa ni ssue.

naomba upige mara kadhaa, naamini utanipata.
 
Mkuu.@MoneyMakers Umetuwekea Dawa zako za Virutubisho na tiba mbali mbali lakini hujaweka Madhara yake wakati ukitumia hizo dawa yaani (Side Effects)? Tutakuamini kivipi Mkuu weka na mdahara yake Mkuu ninaomba majibu toka kwako Mkuu MoneyMakers

Mkuu MziziMkavu na Wanajamvi kwa ujumla, naomba niwahakikishieni kwamba, VIRUTUBISHO VYA EDMARK havina madhara (side effects) kwa mtumiaji. Hakika, hakuna taarifa za madhara tangu virutubisho hivi vianze kutengenezwa na kutumika tangu 1984 huko Malaysia na Bara la Asia kwa ujumla.

Ifahamike tu kwamba, Waarabu ni moja ya watu walio makini na UBORA na UHALALI wa CHAKULA. Kama virutubisho hivi vingekuwa na madhara, EDMARK isingesambaa bara la Asia na kisha kufika Ghana, Africa mnamo 2009 na hatimaye kwetu Tanzania, March 2013 ikiwa imesambaa Nigeria, Cameroon, Ivory Coast, Sudani, Ethiopia, Kenya, Uganda, Zambia, na South Africa huku tukiendelea kusambaa zaidi, tukibisha hodi nchini Brazil, Latin America.

Virutubisho hivi havina madhara kwa sababu they are organically produced in the farm (raw materials) and organically processed in the factory. Bidhaa kuwa Organic, haimaanishi kutopitia kiwandani. Tusome vizuri nadharia ya Organic Farming/ Agricultures and Organic Processing.

Kwa Tanzania, kuhusu habari ya Organic Agriculture, waweza kuwaona Tanzania Organic Agriculture Movement (TOAM). Wanapatikana jengo la Shauri Moyo karibu na Karume au Machinga Complex. Wee waambie umeelekezwa na DOTTO MIRAJI.

Hakika, TUNAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA/ TAARIFA. Hatuangamii sababu eti tu Waafrika, warefu, wafupi, wanawake, n.k. Tuamke na kutafuta maarifa na taarifa kila kukicha. Tusibweteke na au kuridhika na vile tuvijuavyo. Ni vema kutojifunga kimtazamo na kimawazo. Katika ulimwengu huu tunaoishi, ulimwengu wa taarifa (Information age - whereby you can sell piece of information just like any other commodity), it is strongly recommended to keep an OPEN MIND since the world is changing rapidily : what did not work yesterday can work today and what work today it is also possible not to work tommorrow. same applies to side effects: what had side effects yesterday can not have side effect today.

Niseme tu sasa, kwamba, hebu tujitahidi kutafuta maarifa na taarifa sahihi juu ya UWEZO NA UBORA WA VIRUTUBISHO VYA EDMARK katika kutibu MAGONJWA mbalimbali. Hii inaanza na kupiga simu, kuja EDMARK ofisini kwa taarifa / maarifa zaidi na hatimaye kutumia virutubisho hivi na kuwa sehemu ya SHUHUDA nyingi zilizopo.

Tusikubari virusi hawa hatari, FEARENZA na WORRIEST kuangamiza maisha yetu kwa kutofanya maamuzi ya kutumia VIRUTUBISHO VYA EDMARK tukihofia madhara ilhali sio ukweli wa mambo.

Tuwasiliane 0713 366 473 au 0767 277 223
Tembelea: Edmark International Official Website

KARIBUNI : FEEL LOVE NOW!
 
Mkuu MoneyMakers Vimethibitishwa na nani kuwa hivyo Virutubisho vya Edmark havina Madhara? Mkemia Mkuu wa Serikali Je anayo habri ya hizo dawa Zenu? au mnauza kienyeji tu? Ninaomba jibu toka kwako mkuu?
 
Mkuu MziziMkavu VIRUTUBISHO hivi vimethibitishwa na

TANZANIA FOOD AND DRUGS AUTHORITY - TFDA
KENYA BUREAU OF STANDARD - KEBS
INTERNATIONAL STANDARD ORGANIZATION (ISO - 22000:2005)
MALAYSIA ISLAMIC COUNCIL AS HALAL PRODUCTS
GOOD MANUFACTURING PRACTICE - GMP
HAZARD ANALYSIS AND CRITICAL CONTROL POINTS - HACCP

Kuhusu Mkemia Mkuu wa Serikali, sisi hatujapeleka huko kwani hahusiki kwa sasa. Yeye atahusika tu iwapo watumiaji wa virutubisho vya EDMARK watapata madhara na yeye kutakiwa kuthibitisha kama kweli madhara hayo yametokana na utumiaji wa virutubisho hivyo au laa na wamedhurika kwa kiasi gani.

Hata hivyo, mimi nipo tayari kukupatia sample ya virutubisho ili wewe uvipeleke kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kwa uthibitisho kisha urudishe majibu JF.

Pia waweza kununua hizo sample bila hata ya kujitambulisha kwangu na kuzipeleka kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kwa uthibitisho.

Kuhusu Ofisi, tunayo. hatufanyi biashara kienyeji. Serikali inatutambua kupitia TFDA, TRA, na BRELA.

Back
Top Bottom