Mti wa Chuma
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 331
- 99
Habari wanajukwaa.
Wengi watakuwa wameelewa maana halisi ya kichwa cha uzi huu. Hapo naamisha wanaofanya mapenzi kinyume cha maumbile. Kwanza nielezee madhara. Madhara ya kufanya ngono kwa mlango wa nyuma ni hatari kiafya inaweza kuhatarisha maisha, ukiwa mjamzito wakati wa kujifungua hautoweza kusukuma mtoto hivyo lazima ufanyiwe upasuaji, pia maambukizi ya U.T.I mara kwa mara kutokana na ukifanya kwa mlango wa nyuma ukahamia mbele unaleta bacteria wanasababisha U.T.I pamoja na viungo kulegea na hautokuwa na uwezo wa kuzuia haja kubwa. Hayo ni baadhi ya madhara machache tu.
TIBA
Tiba ya kwanza unatakiwa uache mchezo huu. Tiba ya pili uende hospitali mapema upate ushauri wa daktari pamoja na vipimo kujua kama tatizo imekuwa kubwa au bado. Pia tiba mbaadala ya tatizo hili lipo na utapona kabisa. Kwa watakaohitaji ushauri pia wanaotaka kuuliza waniPm