Tiba kwa wanaolalamika sanaaaa

Tiba kwa wanaolalamika sanaaaa

The25824

Member
Joined
Sep 8, 2024
Posts
20
Reaction score
82
Kwenye haya maisha ,
ni rahisi sana mtu kulalamika sana juu ya kila kitu kuliko kutoa mbadala.

Ni rahisi kukosoa sana kuliko kuelekeza kwa njia nzuri ya kujenga wala sio kumponda au kumdhalilisha mwingine.

Ili kuacha tabia hii , Njia nzuri ni kujitahidi kuuchunguza moyo wako juu ya unayoyapitia.

Kanuni inasema,Ili uone mazuri ni lazima ujue uzuri.
Hivo kama ndani yako kuna kitu kinakusumbua ,ni dhahiri hata kwa wengine utaona kuna ubaya.

Safisha moyo wako ,tambua hata wewe ungepewa nafasi ya unaemlalamikia au kumponda,,bado wengine nao wangekuponda.

Ukijua uzuri ,utaona kizuri ,utakosoa vizuri.

Sikatai kuponda au kukosoa ,Ila ili ujitibu anza kwanza na wewe mwenyewe ndio uwatazame wengine.
 
Namuomba Mungu sana nisije kuua,Anayesema kaua namchukiaSana.
 
Back
Top Bottom