JE UMEPATA HII? Kumbe mtu aliyenatatizo la akili, kifafa na uzezeta anaweza kurudisha kumbukumbu? HII NI AJABU!!!! HUDUMA HII IPO KWAAJILI YAKO NA JIRANI YAKO. TUWASILIANE 0763797853
Nenda Rukwa kwenye Kijiji/kata moja huko Wilaya ya Nkasi inaitwa Kipili na Kirando. Na pia Kyela Mbeya kijiji kimoja kipo mpakani mwa Malawi kinaitwa Katumba huko ndipo utapata hiyo Teknolojia ya kisasa kabisa.
Dada yangu anateseka kwa ugonjwa wa akili na kadri siku zinavyosonga tatizo linaongezeka,naomba anayefahamu mtaalamu awezae kumtibu anielekeze na kuhusu hospitali ya Mirembe utaratibu na gharama za matibabu yakoje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.