Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu


Aaah tanga hapana bwana duuuh sitakaa nisahau lile tumbo yaani unaharisha mpk nguvu zinakuisha duuh
 
[emoji1][emoji1][emoji1]halafu uchawi wenyewe ni zongo tu lakini acha kabisa huo mziki wake
Nimecheka kama mazuri wallah tanga kiboko duuuh japo ni nyumban lkn sijui kwa nini siwezi kuishi ht kidogo tanga

Jr[emoji769]
 
Mkuu mshana je sisi wabetiji atuwezi tumia fursa hii ya chumvi kupunguza vipigo tunavyopata kutoka kwa muhindi mana betting nayo ni biashara pia


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Pouwa kikubwa sio maji kiasi gani kwakuwa hata nusu Lita inatosha

Jr[emoji769]
Nakubali nakubali mkuu mshana
Pamoja sana.

Vp lakin mkuu na ww umefungiwa laini nini!!!?
Hahahahahaha. Natania tu mkuu

#MshanaJr
 
Udu
Mkuu mshana je sisi wabetiji atuwezi tumia fursa hii ya chumvi kupunguza vipigo tunavyopata kutoka kwa muhindi mana betting nayo ni biashara pia


Sent from my iPhone using JamiiForums
Usidhani wachezeshaji ni wajinga wa kuchezesha bila kujipanga... Nao wamefanya yao

Jr[emoji769]
 
Uu mvuto unaokusidiwa hapo ni mvuto gani?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yeah hata sisi watu waliumwa na kuharisha mno.... Makata ndio yaliokoa jahazi... Halafu wakati wa kurudi Dar tukatumia siku mbili.... Tulikuwa na gari 3 yani zilikuwa zinaharibika kwa zamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
Makata ndio nin wakuu?,sababu naona mmelizungumzia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante
 
Ni kama magadi lakini kazi yake kubwa kukufanya uharishe au utapike kitu kibaya ulicholishwa ama kula hasa kwa njia ya uchawi wa zongo

Jr[emoji769]
Naomba maelekezo jinsi ya kutumia makata

Je,kuota ndoto za Kila nyama unaweza kutumia makata??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…