Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu

Kwani si imefanana na Magadi? Je ukitumia magagi vp.. Kaka mshana tupe na kazi ya magadi
 
Anuizie kuondoa nuksi na kutakasa nyota

Hey Mshana, kama nataka kuoga kwa mwezi mzima kwa nia ya kusafisha mwili ni lazima nianzie kujimwagia maji kichwani? Maana Dah kutia nywele maji kila siku ni mtihani kwa sisi wanawake. Au nikijipangusa kichwani kwa juujuu inatosha? Pls nijibu ili nianze matumizi.
 
Chumvi ya mawe niliimwaga kavu sehem ya Biashara na Alhamdulillah Biashara inaenda vizuri haswa nikiwepo mimi niliemwagia eneo husika. Nataka nianze kunyunyizia na maji nione itakuwaje maana nimeona hapo umeandika lazma kubadilisha chumvi.
 
Hapana rafiki sio lazima kichwani lakini usoni usikose
 
Chumvi ya mawe niliimwaga kavu sehem ya Biashara na Alhamdulillah Biashara inaenda vizuri haswa nikiwepo mimi niliemwagia eneo husika. Nataka nianze kunyunyizia na maji nione itakuwaje maana nimeona hapo umeandika lazma kubadilisha chumvi.
Hapana si lazima unaweza kuendelea tu hivyo hivyo
 
Asante sana Mshanajr hii kitu inafanya kazi kwa asilimia 200...boss wang ana sehem nying za biashara juzi kafungua nyingine nkaenda kumwaga chumvi asubuh aisee biashara inaenda kuliko hata sehem alizokua nazo mwanzo
 
Ndio natambua hilo kwa hakika

Jr[emoji769]
Haya Mambo sijui yakoje Kuna bwana mmoja alishaniambia Hilo pia, sikuamini japo leo nakusikia Tena Mshana Jr. Inaeleza kuwa unafahamu siku yako kwa uhakika.

Haya Mambo yanakuwaje jamani.?
 
Naomba kujua jins unavopangilia ayo maombi
 
Haya Mambo sijui yakoje Kuna bwana mmoja alishaniambia Hilo pia, sikuamini japo leo nakusikia Tena Mshana Jr. Inaeleza kuwa unafahamu siku yako kwa uhakika.

Haya Mambo yanakuwaje jamani.?
Ni ya kiroho zaidi
 
Makata generarally ni kwa ajili ya kula kitu kibaya.. Ndoto za kula nyama tumia ndimu kulamba

Jr[emoji769]
Nimezoea magadi huwa yanapatikana masokoni, Vipi MAKATA nayo yapo sokoni, maana jina ndiyo nalisikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…