Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu

Chumvi imenisaidia ila changamoto yangu ni moja. Kila nikipanga kwenda kuogea nasau naja kukumbuka nipo bafuni na malizia maji.
 
Chumvi imenisaidia ila changamoto yangu ni moja. Kila nikipanga kwenda kuogea nasau naja kukumbuka nipo bafuni na malizia maji.
Ifanye kama tiba na sehemu ya maisha yako itakusaidia kutokusahau
 
Asante kwa mada nzuri sana nimejifunza jambo jema na jipya kwangu nitatumia chumvi kama sehemu ya maisha yangu
 
Hongera my brother mshana kwa elimu hii unayotupatia
Kuna uzi nlipitia huku jamaa anasema hiyo chumvi itafaa zaidi na kuleta matokeo ya haraka kama utachanganya na mafuta ya olive oil na kujipaka mwilini ila zaidi akasisitiza kua unaweza kujipaka
Kwenye paji la uso
Kifuani
Mikononi na miguuni
Hii imekaaje broh mshana ni bora zaidi kwa kuchanganya na hayo mafuta ya Olive oil.
Na je? Kuna nguvu yoyote inayobebwa na haya mafuta kwa ajili ya matumizi kama ilivyo chumvi
Nashukuru sana kama utanipa ufafanuzi kwako mshana jr
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Je nikiiweka kwenye vifuko vya nailoni Kisha nikaichumbia kila kona ya nyumba/ kiwanja changu itasaidia? Au ni lazima niinyunyizie kila siku?
 
Je nikiiweka kwenye vifuko vya nailoni Kisha nikaichumbia kila kona ya nyumba/ kiwanja changu itasaidia? Au ni lazima niinyunyizie kila siku?
Nikachimba na kuvifukia chini ya ardhi vifuko vya chumvi
 
Tiba zote ni sahihi lakini mimi ningekushauri utumie chumvi kuogea na maffuta kujipaka, kama kuna siku hujaoga basi waweza tumia hiyo njia ya pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…