Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu

Vipi kuhusu maji ya bahari
 
Yapo maneno ya kilatini ukiyaongezea hapo,hata use na balaa gani linasepa baada ya kuyasema juu ya chumvi hugeuka maji ya upako,(siri) ambayo huponyesha.
Au ukachukuwa chumvi ukachanganya na magadi Fulani upare yapo ukajumlisha na maneno ya lilatini,yaani pepo ondoka yake itakuwa sio ya kawaida,siri za kinabii.
 
Maneno hayo ni yapi
 
Waweza pia kuitumia chumvi kwenye kitu kisichouzika kama shamba, kiwanja, nyumba gari nknk
nina ufugaji wa kuku naona sijui nimepigwa zongo ama nini kuku hawatagi inavyotakiwa yaani, je chumvi itasaidiia???
 
[emoji7][emoji7]Raha sana
Nimejikuta Amani imerudi moyoni mwangu. Hapo mwanzo sikuwa interested sana na Uzi huu. Baada tu ya kuufatilia nimepata amani ya nafsi.
 
Very interest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…