Pole na hongera mno.. Nashauri usiache kutumia chumvi... Endelea usichoke.. Kuhusu hicho kitu kizito kifuani hilo sio zongo, hapo kuna kitu kingine umebebeshwa, ngoja nione nitapata wapi MAKATA kisha takurudiaHabari Mkuu Mshana Jr . Kwanza natanguliza shukrani [emoji120], Mimi ni mtu ninayesumbuliwa sana na kusisimkwa sana ubavu wangu wa upande wa kushoto hadi kichwani, midomo kucheza, nimeshahangaika sana kwenye swala la tiba bila mafanikio. Mganga anatibu baada ya wiki au siku 4 tatizo linarudi. Nimefatilia kuogea chumvi ya mawe nimeona imerudisha mvuto, kusisimkwa kunaenda kunapungua japo kwa taratibu, inabakia tu kama nimebandikwa kitu kizito kwenye kifua.
Nahisi hii niliyopigwa ni zongo. Nimeona hapo umezungumzia tena kuhusu dawa ya makata. Pengine hiyo inaweza kunitatulia tatizo langu. Samahani, naomba formula jinsi ya kuitumia hii makata na utaratibu wake.
Mkuu Crocodiletooth tupe basi hayo maneno ya kilatini na wengine tujifunze tupate faida kama alivyofanya Mshana Jr kutoa elimu kwa woteYapo maneno ya kilatini ukiyaongezea hapo,hata use na balaa gani linasepa baada ya kuyasema juu ya chumvi hugeuka maji ya upako,(siri) ambayo huponyesha.
Au ukachukuwa chumvi ukachanganya na magadi Fulani upare yapo ukajumlisha na maneno ya lilatini,yaani pepo ondoka yake itakuwa sio ya kawaida,siri za kinabii.
Makata si jini hilo?Pole na hongera mno.. Nashauri usiache kutumia chumvi... Endelea usichoke.. Kuhusu hicho kitu kizito kifuani hilo sio zongo, hapo kuna kitu kingine umebebeshwa, ngoja nione nitapata wapi MAKATA kisha takurudia
Siku uje utupe elimu ya mitishamba,mlipu sjui mwosha fedha sjui kivumbasi etc...naskia nazo hufanya kazi kama chumvKuna dawa ya unga unga hivi na kuna hilo roho
Mitishamba mingi siku hizi haina hizo nguvu kwakuwa ardhi ilimopandwa imenajisiwa sanaSiku uje utupe elimu ya mitishamba,mlipu sjui mwosha fedha sjui kivumbasi etc...naskia nazo hufanya kazi kama chumv
Sent using Jamii Forums mobile app
Heee kumbeMitishamba mingi siku hizi haina hizo nguvu kwakuwa ardhi ilimopandwa imenajisiwa sana
Vip je ukichanganya MAKATA+ chumvi ya mawe na kisha kuoga itakuwaa sawa????Maji Lita 20 hivi chumvi kadiria nusu kiganja.. Ndimu si lazima sana
Jr[emoji769]
A bit late lakini nimefika mkuu Project EngineerMshana jr njoo
Lete mazuriNimerejea mkuu wangu na mambo mazuri zaidi