Tiba mbadala ya kuondosha weusi wa kikwapa

Unatakiwa kutumia wakat gan?au baada ya kuoga?huchanganyi na k2 chochote ni limao tu?
 
Weusi kwenye kikwapa unatokana na alcohol zinazopatikana kwenye deodorant . Hakikisha hupaki yenye alcohol.


The king.
 
Ha ha ha ha, una kichaa ujue?!
Umenichekesha hazarani mdomo wazi, siwezi kubali nyolewa na mtu mwingine, si atanichungulia maini?

Kwa kweli hair remover kwenye naniliyu inatisha, nahisi itawaka moto. Vinyoleo sawa, ila sio topaz

Mbona unaogopa niniliu yako. Kila mahali tumia tu lol.

ila kuna disposable vinyoleo bwana, tena kwa ajili ya ladies. Afu hiyo ni kazi ya mwenye shamba, ili aamue tuta anaweka wapi
 
Yeuwiii! Sasa mbona unakuwa msukuma hivyo? Ngoja nisiseme kuna watoto hapa. Yaani mwenye shamba ndo anatakiwa afyeke. Ili akipita anajua kabisa hapa kuna mbigiri, kule kuna mchunga! Mi siwezi kulimia jirani shamba aisee. Nalima shamba langu ukinyofoka hata unywele mmoja siku ya ukaguzi nagundua.:bange::bange:

Bic wana nice ladies shavers, disposable. Naona ni salama zaidi. Sijajua kama hizo removers zina madhara gani
Ha ha ha ha, una kichaa ujue?!
Umenichekesha hazarani mdomo wazi, siwezi kubali nyolewa na mtu mwingine, si atanichungulia maini?

Kwa kweli hair remover kwenye naniliyu inatisha, nahisi itawaka moto. Vinyoleo sawa, ila sio topaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…