local sana hii imekaa kiswahili mnoo kuna dawaflani walinipa wazungu zipo poa
Umewaokoa Sana ambao asilimia kubwa ni akina dada kama redrose hapo
local sana hii imekaa kiswahili mnoo kuna dawaflani walinipa wazungu zipo poa
Mbona unaogopa niniliu yako. Kila mahali tumia tu lol.
ila kuna disposable vinyoleo bwana, tena kwa ajili ya ladies. Afu hiyo ni kazi ya mwenye shamba, ili aamue tuta anaweka wapi
Au ukiona limau shida basi paka mkorogo
In addition,limao inakata kabisaa any kind of bad odour ,
nna muda kidogo situmii hata body splash mana napata rashes,limao has been soooo helpful to keep me fresh..