Tiba mbadala ya uvimbe wa kizazi

bereng

Senior Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
114
Reaction score
21
Uvimbe wa kizazi kwa wanawake huwafanya wahanga kulalamika wanatumia gharama nyingi katika matibabu bila kupona. Dalili huendelea, wakati mwingine hali hubadilika na kuwa mbaya zaidi.

Yafuatayo ni baadhi ya mambo unayopaswa kuzingatia. Punguza kula nyama nyekundu, kuku wa kisasa na mayai, punguza kula starch na cabohydrate, thibiti uzito.

DALILI.

Kutokwa damu kusiko kawaida, maumivu makali wakati wa hedhi, kwenda haja ndogo mara kwa mara, kuumwa mgongo, ugumba, maumivu wakati wa tendo la ndoa.
Kwa wanawake wengi uvimbe huisha au kupungua wanapokoma kwenda hedhi.

TIBA.
Matibabu yako ya aina nyingi, ila mengi huwa na hatari na madhara.
Unastahili uhuru dhidi ya tatizo hili, ndiyo maana unahitaji KOMBO LA TIBA LISHE kwa ajili ya suluhisho la afya yako. Itasaidia kuondoa uvimbe bila upasuaji. Utapata pia dhamana ya asilimia 100 kurudishiwa pesa yako endapo uvimbe hautaisha. Bidhaa ni asili toka katika mimea, mboga na matunda toka pande za dunia zilizotengenezwa kwa utaalamu wa hali ya juu bila kuwekwa kemikali wala hazina madhara.

Fika ofisini kwetu Kinondoni Moroko, jirani na hospitali ya AAR. Tuna tiba lishe kwa ajili ya saratani, figo, pumu, ugumba, uzito uliozidi, kisukari, shinikizo la damu, vidonda vya tumbo, kuimarisha kinga ya mwili na mengine. Yote hayo dhamana ya kurudishiwa pesa ni asilimia 100.

Piga simu namba 0758 245552 au 0716 299399.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…