Ndugu wajasiriamali. hasa wafugaji wa kuku wa asili. mimi nimefanikiwa kutibu magonjwa mawili ya kuku. kwa tiba mbadara (1) uharo mweupe. nilichanganya vumbi la mkaa na chakula cha kuku nikawapa kwa siku tano. tiba hii hutumiwa sana na WASABATO
kutibu kuhara (kuharisha) binadamu. (2) kupinda shingo natumia kitunguu swaumu naponda ponda kitunguu swaumu punje 7 nachanganya na maji ujazo wa birauli 1. namunywesha kuku kwa kutumia bomba la sindano kisha namulisha chakula na kumunyoosha shingo