kazuramimba
Senior Member
- Jun 14, 2011
- 126
- 57
Imegunduliwa lini?Mwilini mwako unahisi vitu vinatembea umepimwa hakionekani kitu.Umehamaki hujui la kufanya.Umepimwa una cancer,Ukimwi a.k.a Miwaya hujui la kufanya. Jibu ni NJOO UFANYIWE MAOMBI NJOO UWOMBEWE TATIZO LAKO NI DOGO HILO.by bonny mwaitege.
Na kuachwa haraka dawa zikichujaUmenifurahisha sana, juzi nimesoma kibao cha tangazo la biashara kinasema hivi:-
"Mganga kutoka Sumbawanga anatibu yafuatayo
1.Kisukari
2.Pumu
3.Kuolewa haraka
4.Kufanikiwa kibiashara
5.Kumwita mliyepoteana
6.Nguvu za kiume"
Palipo nishangaza ni hapo kwenye blue hayo ni magonjwa gani?