Tiba na ushauri mifugo

Tiba na ushauri mifugo

mulaki

Member
Joined
Sep 18, 2012
Posts
81
Reaction score
19
Wana jamvi habari zenu,

Mimi ni mtaalam wa mifugo ktk tiba, ushauri na upatikanaji wa mifugo kama ng'ombe, mbuzi,kuku,mbwa,paka,nguruwe na nk.

Hivyo wadau KWA yoyote anayehitaji huduma tuwasiliane KWA no 0714134004 napatikana maeneo ya tegeta DSM.
 
kaka wewe product ya wap?
Umemaliza lini?
Ukiona mjini hakulipi kaanzishe shamba kijijini utatoka kwa taaluma yko, najua tatzo ni mtaji ila si lazma uanze na capital kubwa.
 
Back
Top Bottom