mulaki Member Joined Sep 18, 2012 Posts 81 Reaction score 19 Aug 9, 2013 #1 Wana jamvi habari zenu, Mimi ni mtaalam wa mifugo ktk tiba, ushauri na upatikanaji wa mifugo kama ng'ombe, mbuzi,kuku,mbwa,paka,nguruwe na nk. Hivyo wadau KWA yoyote anayehitaji huduma tuwasiliane KWA no 0714134004 napatikana maeneo ya tegeta DSM.
Wana jamvi habari zenu, Mimi ni mtaalam wa mifugo ktk tiba, ushauri na upatikanaji wa mifugo kama ng'ombe, mbuzi,kuku,mbwa,paka,nguruwe na nk. Hivyo wadau KWA yoyote anayehitaji huduma tuwasiliane KWA no 0714134004 napatikana maeneo ya tegeta DSM.
mpitanjia2005 Member Joined Jul 27, 2013 Posts 40 Reaction score 5 Aug 10, 2013 #2 Gharama za ushauri ni kiasi gani?
Tudai Haki JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 315 Reaction score 80 Apr 24, 2014 #3 mpitanjia2005 said: Gharama za ushauri ni kiasi gani? Click to expand... ukiwa na shida cruz mpigie sim
mpitanjia2005 said: Gharama za ushauri ni kiasi gani? Click to expand... ukiwa na shida cruz mpigie sim
Tudai Haki JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 315 Reaction score 80 Apr 24, 2014 #4 kaka wewe product ya wap? Umemaliza lini? Ukiona mjini hakulipi kaanzishe shamba kijijini utatoka kwa taaluma yko, najua tatzo ni mtaji ila si lazma uanze na capital kubwa.
kaka wewe product ya wap? Umemaliza lini? Ukiona mjini hakulipi kaanzishe shamba kijijini utatoka kwa taaluma yko, najua tatzo ni mtaji ila si lazma uanze na capital kubwa.
mulaki Member Joined Sep 18, 2012 Posts 81 Reaction score 19 Dec 9, 2014 Thread starter #5 Product ya liti morogoro