Tiba sahihi ya sinus

sinus ya nini,,, au una maanisha sinusitis
 
Nenda hospitali ukachukuliwe CT-SCAN ya pua na Sinus ili upate tiba sahihi!
 
naombeni msaada wa hii tiba inanisumbua...
Dawa ya Maradhi ya Sinus Fanya hivi:

Vijiko 2 vya (AppleCider Vinegar)Siki
ya Tufaha tia kwenye nusu kikombe cha maji ya moto utie na asali kijiko kimoja kikubwa kunywa hiyo dawa iwe ya moto moto kutwa mara 3 kwa siku 7 utapona inshallah.
 

Attachments

  • APPLE CIDER VINEGAR..jpg
    140.1 KB · Views: 112
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…