asante sana ndugu yangu nitafuata hayo ulo niambia ubarikiwe sanapole ndugu yangu. Inaelekea choo kigumu kilikuchana, halafu kidonda kikapata infection. Jaribu kutumia "sitz bath" na antibiotic kama flagyl na chloramphenicol. Jinsi ya kutengeneza sitz bath: Chemsha maji yawe vuguvugu, weka chumvi kidogo na dettol. Weka mchanganyiko huu katika beseni pana, kaa humo kama kwa dakika 10 hivi. Fanya hivi mara mbili kwa siku.
All the same, go and see a doctor at bugando.
Mungu atakusaidia.
Ningependa kupewa unavyo-progress.
Pole ndugu yangu. Inaelekea choo kigumu kilikuchana, halafu kidonda kikapata infection. Jaribu kutumia "sitz bath" na antibiotic kama flagyl na chloramphenicol. Jinsi ya kutengeneza sitz bath: Chemsha maji yawe vuguvugu, weka chumvi kidogo na dettol. Weka mchanganyiko huu katika beseni pana, kaa humo kama kwa dakika 10 hivi. Fanya hivi mara mbili kwa siku.
All the same, go and see a doctor at Bugando.
Mungu atakusaidia.
Ningependa kupewa unavyo-progress.
Mkuu ningeomba walau unisaidie jina la dawa hizo lakini pia maumivu haya huja baada ya kijusaidia ilanikiakaa kama masaa matatu hadi manne maumivu yanaisha ila nkienda tu haja tabu inarejea tena ivo ikitokea sijaenda haja siku nzima au mbili huwa sipati mauvu hata nikijaribu kukaza misuli ya haja kubwainfection kwa miezi miwili, na hana symptoms nyingine zinazoambatana na infection zaidi ya maumivu...I dont think so.
Unahitaji kurudi kwa daktari (surgeon) akuevaluate tena. Japokuwa mara nyingi anal fissures huwa treated conservatively (bila surgery), lakini kuna kipindi inakuwa hakuna jinsi zaidi ya surgey. Pia kuna dawa nyingine zinazoweza kukusaidia kuzuia maumivu wakati wa kwenda choo kama daktari atashauri usubiri zaidi.
nashukuru sana ndugu kwa ushauri nayafanyia kazi yote ubarikiwe sananakushauri sana sana jitahidi kadri uwezavyo kutumia matunda kwa wingi na chakula chenye fibers. Inasaidia. Maana nahisi unakuwa una constipation mkubwa. Pia jitahidi kunywa maji kwa wingi sana ukiweza hata lita 3-4 kwa siku.
NASHUKURU SANA NDUGU KWA USHAURI NAYAFANYIA KAZI YOTE UBARIKIWE SANAnakushauri sana sana jitahidi kadri uwezavyo kutumia matunda kwa wingi na chakula chenye fibers. inasaidia. maana nahisi unakuwa una constipation mkubwa. pia jitahidi kunywa maji kwa wingi sana ukiweza hata lita 3-4 kwa siku.