Tiba: Uchanganyaji wa Asali ya nyuki wadogo na unga wa mdalasini huboresha afya zetu kwa 100%

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Uchanganyaji wa asali ya nyuki wadogo na unga wa mdalasini huboresha afya zetu kwa 100%. Pia mchanganyiko huu unapotumiwa kabla ya kulala usiku hufanya kazi kama Anti-aging..
 
asali (nahic yoyote)ikichanganywa na maji ya limao pamoja na kitunguu swaum kilichosagwa husaidia kuponya matatizo ya tumboni hasa amiba.
 
uganga wa kienyeji upo wa aina nyingi hivyo ili kuepuka ramli katika mambo serious tunataka kwanza mtu yeyote anayekuja na tiba kwanza atueleze mfano asali ina contents zipi, mdalasini una content zipi? kitunguu swaumu kina content zipi na ukivichanganya unapata nini na kinafanya kazi vipi mwili.

lakini wengine mnaoteshwa huko kama babu wa loliondo alafu mnakurupuka dawa fulani inatibu sana.

baada ya kutuambia michanganyiko yenu hiyo ina nini basi muipeleke wizara ya afya ikafanyiwe utafiti kuthibisha madai yenu na hapo ndio iruhusiwe kutumika.

kama mmeota tu ni bora vikombe vyenu mvinywe wenyewe
 
Ombi:- Tusiingie katika utibabu WA kiasili au uganga wa kienyeji!
tutumie reference zilizo katika mfumo wa kitaalamu zaidi!

mfano kuhusu asali na amdalasin/ unaweza Ku Google Ili kuhakiki
 
mtu akipewa dawa ya asili akaharisha utasikia sumu imetoka;;jamaan wapendwa ebu tubadlike jiulize kwann uhalishe???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…