Whitney Houston JF-Expert Member Joined Jan 5, 2019 Posts 242 Reaction score 452 May 1, 2025 #1 Heshima kwenu Wana jamvi. Naombeni mnisaidie tiba asili ya kizazi kilichoshushuka(kama tiba ya hospital pia ipo ya tofauti na operation nitajieni) Kizazi kimeshuka kiasi kwamba kuigusa g-spot ni rahisi sana yani tofauti na ilivokua awali.
Heshima kwenu Wana jamvi. Naombeni mnisaidie tiba asili ya kizazi kilichoshushuka(kama tiba ya hospital pia ipo ya tofauti na operation nitajieni) Kizazi kimeshuka kiasi kwamba kuigusa g-spot ni rahisi sana yani tofauti na ilivokua awali.