Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
God Forbid aiseee!! Ni hatari sanaNi sexual transmitted infection. Inasababshwa na bacteria baada ya kufanya tendo na mtu mwenye ugonjwa.
Kitu cha ajabu mwanamke anaweza kuugua na huu ugonjwa kwa miezi mingi ila asionyeshe dalili zozote ILA mwanamume anaposhiriki nae tendo ndani ya wiki tu dalili ataziona. Wanawake wanakuwa Asymtomatic
Chizi karogwa tena.MNASHAURIWA KUTIBIWA COUPLE NZIMA SASA NENDA KIVYAKO UTIBIWE UPONE. ALAF WIFE YEYE HANA DALILI UKIFANYA NAE SEX TU UGONJWA UNAANZA UPYA. NDO UTAJUA ASYMPTOMATIC MTU ANA UGONJWA ILA HAONYESHI DALILI
KAMA MIEZI MI 3 BAAADA YA KUUUGUA HIV
HIYO YA SYPHILISChizi karogwa tena.
Uzungu uzungu mwingi sana miaka hii ndio maana hata matatizo nayo yanakuwa si yale yaliyozoeleka.Dawa yake ni ku control chakula tu
Jiepushe na constipation na diarrhoea
Vyakula hakikisha unatumia mboga mboga na matunda kwa wingi, unywe na maji.
Aina ya choo unachotumia, angalia choo cha kukaa kinaweza kukupa urahisi bila kupata hiyo shida mara kwa mara.
Ukizingatia hayo utabaki na bawasiri yako ila haitakupa shida yeyote.
Kwenye ujauzito (neno mimba tunatumia kwa wanyama sio binadamu) hapo swala si wakati wa kujifungua (neno kuzaa tunatumia kwa wanyama sio binadamu) bali swala ni wanawake wajawazito hupatwa na constipation sana wakati wa ujauzito ila sio kwamba kupush tu siku moja wanapata bawasili.BAWASILI INASABABISHWA NA ;
GENETICS. **** familia nyngine watu hupata tu na tatizo hilo
OBESITY uzito kupita kiasi
PRESHA KUBWA KWENYE MWILI hasa wanyanyua vyuma au kukohoa sana kwa muda mrefu au wa kati wa haja kubwa kutumia nguvu nyingi inafa nya nyama kuchanika
MIMBA nazo huongeza kupatikana kwa bawasisiri hasa pale mtu anpojifungua hutumia nguvu nyingi kusukuma ambazo husababisha nyama za tumbo kuweka weaa line
MAGONJWA YA MUDA MREFU AMBYO MTU UVIMBA TUMBO
layman language. ujauzito ni kama risk/associated factorKwenye ujauzito (neno mimba tunatumia kwa wanyama sio binadamu) hapo swala si wakati wa kujifungua (neno kuzaa tunatumia kwa wanyama sio binadamu) bali swala ni wanawake wajawazito hupatwa na constipation sana wakati wa ujauzito ila sio kwamba kupush tu siku moja wanapata bawasili.
Hello habari yako Mkuu dawa ya maradhi ya bawasiri ipo nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako uguw apole.Nina jamaa yangu ambaye aliugua bawasiri akafanyiwa upasuaji.
Kuna madai kuwa baada ya upasuaji ugonjwa huu unarudi.
Wanadai kuwa ukitibiwa hauponi moja kwa moja.
Unarudi.
Naomba ushauri na maelekezo ya FIBA sahihi.