bilengeh
Senior Member
- Mar 31, 2017
- 135
- 86
Habari za saa hizi wanajamii
Ndugu yenu hapa katika harakati za kimaisha nimepata bahati ya kutembea sana kanda ya magharibi(kigoma, katavi. Njia za maji upande wa rukwa) kwa shughuli za ujasiriamali lkn katika pitapita zangu nikatokea kupenda sana dawa za asili na faida zake.
Hivyo nisiwachoshe sana maana muda nao ni rasilimali, nini kilicho nipelekea kuandika hii thread nikumuenzi mmoja wa wazee niliobahatika kupata busara na hekima zao sanasana katika masuala ya kitabibu. Na mmoja wa hao ni mzee wangu ramadhani almaaruuf mzee ramso ambaye amekuwa ni mtu alieniispere katika kuipenda taaluma hii ya jadi. Na kwa bahati mbaya ama nzuri(maana mungu hakosei) kabla ya mauti yake nilikuwa na deni kubwa sana kwake kwa maana ya kujifunza mambo mengi lkn pasina ujira wa ulioendana na taalum aliyokua ananifundisha hivyo mnamo tarehe 1 nillienda kumuoana mzee wangu kumuaga kuwa narudi nyumbani(dsm) lkn kwa bahati mbaya hali yake usiku huo ilizidi kuwa mbaya zaidi na alfajiri yake nikabahatika kuondoka lkn mnamo mishale ya saa tano nikapata taarifa za msiba nikiwa safarini.
Hivyo basi kwa muda mrefu nikawa nawaza ni jinsi gani ya kumlipa mzee huyo kwa maarifa madogo aliyonipatia nakapata wazo kwa nini nisitumie kilekile alichonifunza kuwa msaada kwake katika maisha baada ya kifo.
Hivyo wadau nimechukuwa machache katika yale aliyokuwa na uhodari nayo zaidi
1/ donda ndugu nitatibia bure
2/pressure ya kupanda nayo nitatibia bure
3 / hii ni kwa ajili ya wanandoa kama moja wa wenza amekuwa msumbufu either ama analeta visa visivyo na visababu basi nayo nitatoa bure
Alie intrested ani pm masuala yanayo husiana na hayo magonjwa
Hope nimeleweka