Tiba ya CERAGEM ina madhara yeyote?

Tiba ya CERAGEM ina madhara yeyote?

Crispin Nyoni

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
413
Reaction score
90
Hapa kwa Mahuki Msamala Songea pana clinic ya mazoezi kutoka kampuni ya CERAGEM. Pameandikwa Nazareti clinic.Ambapo wanakulaza chali kitandani na hicho kitanda kinakunyosha kiuno, mgongo, miguu, kupunguza kitambi nk.Dakika 40 tsh 3000 ili ushughulikiwe na hicho kitanda.Nimemuuliza dada wa hapo akasema hakuna madhara.Lakini inawezekana labda kuvutia tu biashara.Je, wadau mnaweza mkasema zaidi.Kuna madhara gani?
 
Hivi vitu visivyo na maelezo yaliyonyooka kaa navyo mbali sana
 
Back
Top Bottom