Hakuna cha wapi wala nini huyo mtoto mpeleke Muhimbili pale kuna wataala kwa umoja wao watachua historia ya huyo mtoto yawezekana akiwa mdogo kuna dawa aliwahi kutumia ilimetea madhara bila nyie kujua na watamchukua vipimo hapa kama havipo huwa wanavipeleka Nairobi baada ya muda mwanao atapatiwa tiba iliyo sahii yawezekana hiyo fungus inaanzia tumboni hatuwezi jua maana sote sii wataalamu lakini nakushauri kama upo hapa dar es salaam mpeleke Muhimbili.Nina mtoto ana miaka 18 sasa. Toka akiwa mtoto anasubuliwa na fangasi wa kwenye ulimi. Yaani ulimi unakuwa unachanikachanika na wakati mwingine hawezi kula kabisa na anahisi maumivu Makali. Nimempeleka hospitari nyingi kila wakipima wanasema ni fangasi.
Shida ni dawa sahihi ya kutibu. Dawa nyingi ametumia hazijamsaidia. Msaada tafadhari.
Ahsante sana kwa ushauri.Hakuna cha wapi wala nini huyo mtoto mpeleke Muhimbili pale kuna wataala kwa umoja wao watachua historia ya huyo mtoto yawezekana akiwa mdogo kuna dawa aliwahi kutumia ilimetea madhara bila nyie kujua na watamchukua vipimo hapa kama havipo huwa wanavipeleka Nairobi baada ya muda mwanao atapatiwa tiba iliyo sahii yawezekana hiyo fungus inaanzia tumboni hatuwezi jua maana sote sii wataalamu lakini nakushauri kama upo hapa dar es salaam mpeleke Muhimbili.
Ukiwa na Shida yoyote ileNina mtoto ana miaka 18 sasa. Toka akiwa mtoto anasubuliwa na fangasi wa kwenye ulimi. Yaani ulimi unakuwa unachanikachanika na wakati mwingine hawezi kula kabisa na anahisi maumivu Makali. Nimempeleka hospitari nyingi kila wakipima wanasema ni fangasi.
Shida ni dawa sahihi ya kutibu. Dawa nyingi ametumia hazijamsaidia. Msaada tafadhari.
Nashukuru kwa ushauriHizo sio fungus ni upungufu wa vitamin mpeleke pale regency umuone dr Rahim umpe hiyo history japo yeye ni bingwa wa watoto na huyo alianza toka mdogo atakusaidia sana uje utupe jibu kama una bima nenda nayo kama huna gharama zao ni za kawaida sana