tiba ya henia

tiba ya henia

sunday chaka1

Member
Joined
Mar 4, 2012
Posts
5
Reaction score
0
naomba kupatiwa tiba ya ugonjwa wa henia kama unatibika bila ya kfanyiwa upasuaji?
 
Definition of Hernia is protrusion of an organ from one body compartment into another compartment. Wengi wanaifahamu Inguinal hernia. Wakati umentu au utumbo au vyote vinapo pita kwenye inguinal canal na kuelekea kwenye scrotum. Lakini zipo sehemu nyingi. Umbelical hernia ni nyigine ambayo inatokea wakati utumbo na umentu kupita kwenye tundu ya kitovu na kuingia kwenye kitovu.

Hata uti wa mgongo kuna hernia. Pale spinal nerve inapo jichomeka kwenye penyo kati ya mifupa ya uti wa mgongo.

Sasa wewe una hernia ya wapi? Kama ni inguinal hernia, kuna mikanda ya kujifunga kwenye kiuno ambayo inazuia abdominal contents zisipite kwenye ingunal canal na hii inabidi usi ongeze intra abdominal pressure ili ifanye kazi. Tiba ya kudumu ni Herniotomi. Hii ni opereshen ya kui repair hiyo sehemu ambayo inapitisha abdominal contents NENDA UMONE SURGEON. Atakupima na kukuelekza tiba kamili. GOOD LUCK
 
Back
Top Bottom