Tiba ya kisukari aina zote tatu (type 1, type 2 na inayowapata kinamama)

DAVE2014

Member
Joined
Aug 27, 2014
Posts
31
Reaction score
11
Ninatambulisha tiba ya ugonjwa wa kisukari. Imethibitiswa na kuruhusiwa nchini. Kafanye A1C, FGP ama OGTT test kabla ya matumizi ya hii dawa ambayo nitakupa in details, kisha baada ya wiki mbili nenda kafanye vipimo tena kuona ninachokueleza.

Ikiwa ni wewe ama una ndugu, jamaa, ama rafiki ambaye anasumbuliwa na kisukari;

Piga: 0719206920

 
Tuambie jina la dawa, nani kagundua na lini, ufanyaji wake wa kazi, dozi ngapi mpaka kupona.
Ambatanisha na kivuli cha ukaguzi na uthibitisho kutoka mamlaka ya dawa na chakula.
Ambatanisha vivuli vya vyeti vya wagonjwa waliotumia hii dawa na kupona ( vyeti kabla na baada ya kupona).

Ukifanisha hayo hapo juu, jiandae kuwa milionea
Ukishindwa wewe ni tapeli kama matapeli wengine wa dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…