Tiba ya kisukari

terabojo

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
215
Reaction score
45
Wana Jamiiforum, kama wiki mbili zilizopita nilibahatika kusoma habari za padri wa kanisa katoliki huko Bukoba. Kifupi alipelekwa Muhimbili na akalazwa ICU kwa ugonjwa wa kisukati na figo. Wakati anatayarishwa kupelekwa India akapata habari za kuwepo tabibu wa kisuka kwa jina la Dr John Kidua. Akaomba ruksa ya kujitayarisha akiwa nje ya hospitali. Alipelekwa kwa huyo mtu akapewa dawa na baada ya muda akapona. Akaenda Regency kupimwa ili kujua hasa. Akaonekana hana kisukari wa hana tatizo la figo.

Binafsi nimeongea na Dr Kidua anayefanyia shughuli zake Yombo karibu na ofisi ya CCm na anasema tiba yake ni ya dozi ya mwezi mmoja au hata miwili na baada ya hapo mtu anakuwa amepona. Namba yake ni: 0784 504 000.

Kama unamfahamu ndugu au jamaa mwenye tatizo mshauri ampigie.
 
Asante sana kwa taarifa
 
:confused2:

Jinsi ya kutumia na masharti yake isije kuwa Karumanzila?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…