stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
Habari
Naomba kufahamishwa tiba ya kiungulia kinanisumbua hasa nikila vitu vilivyopoa Kama maharage viazi vitamu hata kitu chochote chenye harufu ya kuungulia au kushika n.k msaada please.
Natanguliza shukrani
pasha vyakula vyako moto
pole sana dawa kula matango au matikiti maji na zaidi hiyo dalili ya vidonda vya tumbo kwa ushauli muone DR
DAWA YA KIUNGULIA: JITIBU KIUNGULIAHabari
Naomba kufahamishwa tiba ya kiungulia kinanisumbua hasa nikila vitu vilivyopoa Kama maharage viazi vitamu hata kitu chochote chenye harufu ya kuungulia au kushika n.k msaada please.
Natanguliza shukrani
Dr. MziziMkavu je kwa mtu mwenye tatizo la GERD kwa tiba hiyo ya nyanya inafaa?
mi nakushauri upige omeprazole. GERD ukiilea huleta madhara makubwa.Dr. MziziMkavu je kwa mtu mwenye tatizo la GERD kwa tiba hiyo ya nyanya inafaa?