Tiba ya kuondoa ukoko kwenye kichwa

Tumia SELENIUM SULPHIDE SHAMPOO(jina la biashara huitwa SELSUN)
 
dawa ya ukoko maji ukiona ukoko mwingi weka maji tu
 
Tumia anti dandruff shampoo alafu pakaa mafuta ya nazi
 
Tumia mafuta ya bunduki mara moja tu inatosha kuondoa mmba na ukoko kwenye ngozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…