Tiba ya kusafisha macho

Tiba ya kusafisha macho

Sinamboga

Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
84
Reaction score
37
Habari
Naomba kujuzwa tiba ya kuondoa wekendu katika macho na je wekundu unasababishwa na nini?
 
Bangi na pombe watumia? Mazingira ya kazi yako ni gani? Tuanzie hapo kwanza.
 
Back
Top Bottom