S Sinamboga Member Joined Dec 6, 2012 Posts 84 Reaction score 37 Apr 6, 2018 #1 Habari Naomba kujuzwa tiba ya kuondoa wekendu katika macho na je wekundu unasababishwa na nini?
W Wajad JF-Expert Member Joined Jul 20, 2012 Posts 1,321 Reaction score 604 Apr 6, 2018 #2 Bangi na pombe watumia? Mazingira ya kazi yako ni gani? Tuanzie hapo kwanza.
S Sinamboga Member Joined Dec 6, 2012 Posts 84 Reaction score 37 Apr 6, 2018 Thread starter #3 Wajad said: Bangi na pombe watumia? Mazingira ya kazi yako ni gani? Tuanzie hapo kwanza. Click to expand... Hapana, ofisini juani kidogo na safari kidogo Practising Islam
Wajad said: Bangi na pombe watumia? Mazingira ya kazi yako ni gani? Tuanzie hapo kwanza. Click to expand... Hapana, ofisini juani kidogo na safari kidogo Practising Islam