Tiba ya Macho na Masikio

Tiba ya Macho na Masikio

Ududu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
1,020
Reaction score
556
Habarini wana jukwaa?Nina mdogo wangu wa miaka 18 ana tatizo la uoni hafifu na usikivu hafifu,amekua akitumia miwani toka akiwa na miaka 14 baada ya ushauri wa daktari lakini hivi karibuni hali yake imekua mbaya zaidi kwani anapoteza uwezo wa kuona na kusikia siku baada ya siku.

Naomba yeyote mwenye kujua dawa ya kumsaidia au hospitali yenye mabingwa wa matatizo ya Macho na Masikio Kwa hapa Dodoma au Dar-es-salaam.
 
Mpe juice ya carrot ilochanganywa na maji ya nanasi
 
wakati anakunywa kunywa hizo juice usisahau kutembelea muhimbili hapo kwa uchunguzi zaidi
 
Mimi wakati Niko darasa la nne nilipoteza kabisa uwezo wa kuona kwa mwezi mzima, nikiwa juani macho yanauma ndipo nikawa nawekewa majani ya mbaazi afu najifukiza baadae nikaenda tolewa vikope na Bibi (nashukuru sana mungu mpaka kufikia hapa nilipo),

NB:Mimi macho yangu yalikuwa yanauma nikiwa kwenye jua, baadae nikawa nakaa ndani tu
 
Back
Top Bottom