Mimi wakati Niko darasa la nne nilipoteza kabisa uwezo wa kuona kwa mwezi mzima, nikiwa juani macho yanauma ndipo nikawa nawekewa majani ya mbaazi afu najifukiza baadae nikaenda tolewa vikope na Bibi (nashukuru sana mungu mpaka kufikia hapa nilipo),
NB:Mimi macho yangu yalikuwa yanauma nikiwa kwenye jua, baadae nikawa nakaa ndani tu