Tiba ya mafua ya muda mrefu na kikohozi

Tiba ya mafua ya muda mrefu na kikohozi

JOHN VENAS

Member
Joined
Oct 8, 2024
Posts
7
Reaction score
1
Habari za hapa ndugu zangu.

Mimi nina changamoto moja, mke wangu anasumbuliwa na mafua yasiyopona na koo linawasha tangu mwezi wa sita, nifanye nini kumsaidia?

Naomba ushauri kwa anaye fahamu njia ya kutibu hili tatizo.
 
Tatizo huenda ni allergy au infection
Msaada wa haraka hatuwezi kutoa kwani atujamuona mgonjwa au hujatoa maelezo ya kutosha . Huenda ana changamoto kwenye .fumo wa upumuaji ( respiratory system) kwa msaada wa humu JF hauta tosha.
Hivyo aende hospitalini kuepusha tatizo kua sugu
 
Habari za hapa ndugu zangu.

Mimi nina changamoto moja, mke wangu anasumbuliwa na mafua yasiyopona na koo linawasha tangu mwezi wa sita, nifanye nini kumsaidia?

Naomba ushauri kwa anaye fahamu njia ya kutibu hili tatizo.
Pole,
Aende hospital kwa uchunguzi na vipimo ili tatizo libainike na kutibiwa ipasavyo.

Inawezekana kuna tatizo kwenye njia ya hewa au chakula. Kwa hiyo aende hospital.
 
Back
Top Bottom