Tiba ya magonjwa mengi hii hapa

bereng

Senior Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
114
Reaction score
21


Aloe vera gel ni juice inayotengenezwa kwa mmea wa aloevera ambayo ina kazi nyingi sana kwa mwii wa mwanadamu katika kumpatia afya na kuondoa maradhi. Hii bidhaa ina uthibitisho toka baraza la sayansi la aloe vera duniani, Kosher, Islamic sociery, pamoja na uthibitisho wa zaidi ya nchi 150 duniani. Bidhaa inatibu na kusaidia mambo mengi sana yakiwemo: Kurekebisha mfumo wa mmeng`enyo wa chakula. Wataalam wa afya wanasema kwamba magonjwa mengi yanatokana na mfumo wa chakula. Hivyo bidhaa hii itasaidia kurekebisha na kukusaidia kupata afya bora na kukusaidia kupata choo kiurahisi pamoja na mambo mengine. Kusaidia kuondoa sumu mwilini. Katika maisha tunayoishi sasa, sumu hatuwezi kuzikimbia kwani zipo kila mahali na kila siku. Hivyo ukitumia bidhaa hii, itaondoa kabisa sumu mwilini mwako. Kubalance homoni. Inasaidia sana hata kwa wanawake wanaosumbuliwa na matatizo ya kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi, siku kubadilika badilika pamoja na kusaidia ngozi kuwa na mwonekano mzuri. Husaidia pia matatizo ya sukari, shinikizo la damu pamoja na uvimbe pia. Husaidia kuimalisha kinga ya mwili. Hata kwa watu wenye maambukizi husaidia sana kuimalisha kinga. Mtu akitumia hii kwa hili tatizo, atashangaa sana jinsi afya yake itakavyoimalika. Pia kuna mambo mengine mengi inayosaidia. Ila kumbuka hii bidhaa ni asili na haina kemikali. Kama utahitaji hii bidhaa pamoja na maaelekezo zaidi, wasiliana name kwa simu namba 0768 955 185.
 
sina hakika kama kuna bidhaa inayopita kiwandani ikakosa.kuwa.na kemikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…