Tiba ya magonjwa zaidi ya 70 hii hapa

bereng

Senior Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
114
Reaction score
21
Vemma Mangosteen nikirutubisho kisichomfano kwenye karne hii kilichotokana na uvumbuzi wakipekee na waajabu uliofanywa na madaktari bingwa na wanasayansi wazamivu kwenye fani ya tiba na afya. Bidhaa hii imetokana na tunda la ajabu la Mangosteen (Gacinia mangostana) kutoka kusini mashariki mwa Asia. Tunda hili lina aina tofauti 43 za Xanthones kilamoja ikiwa na uwezo na nguvu za kipekee kukidhi mahitaji ya afya ya binadamu. Utafiti wa mabingwa wa tiba na afya juu ya faida za tunda hili umeonyesha kuwa na uwezo mkubwa na hutoa matokeo ya kushangaza kutokana na mabadiliko ya haraka ndani ya mwili wa mwanadamu kwa kutoa virutubisho vyenye nguvu na kiwango cha juu zaidi cha ORACLE 114,163 hivyo kuweza kuzuia au kutibu magonjwa zaid iya 75

Uwezo mkubwa na waajabu wabidhaa ya VEMMA Mangosteen unatokana na uthabiti wa kuboresha afya na hata kuondoa kabisa matatizo ya watumiaji kutokana na vimerea vyenye uwezo mkubwa vya Xanthones ambavyo vina viondoasumu vyenye nguvu kubwa (‘Super Oxydants”) iliyowekwa kwenye mchanganyiko maalum wa bidhaa 5 pamoja (Mangosteen, Vitamini, Madinimaalum, Alovera na Chai ya kijani)


UWEZO WA AJABU KWENYE MAGONJWA
Tafiti nyingi zimeonyesha VEMMA Mangosteen kuwa na uwezo mkubwa kuyakabil imagonjwa mazito naya hatari kama:
•Shinikizo la damu
•Kisukali
•Matatizo ya moyo
•Kiharusi/ Strock
•Lehemu/ Cholesterol
•Vidonda vya tumbo
•Kurudisha chembechembe ha iharaka
•Pumu, kikohozi sugu
•Mzia , Matatizo ya figo
•Kusawazisha utendajikazi wa homoni
•Matatizo ya kutoona vizuri
•Hurudisha kumbukumbu na kukuza kufikili
Matatizo ya mwili Kutetemeka, Gaout, baridi yabisi, usumbufu wa hedhi, arthritis,Teziyakiume - protate, huondoa sumu mwilini na kwenye damu, miguu kuwaka moto, huondoa kiwango kikubwa cha mafuta (Lehemu) kwenye damu na mwilini,hupunguza ukali wa saratani. Kuondoa hali ya uzee na kuweka mwili hali ya ujana mifupa , magonjwa ya ngozi, fungasi sugu, huongeza nguvu na kuamsha hamu na hamasa ya tendo la ndoa kwa wanaume na wanawake


VIRUTUBISHO VILIVYOMO KWENYE GRASS 1 YA MIL 60
1)Machungwa 2 sawa na kiwango cha Vitamini C
2)Parachichi 9 sawa na kiwango chaVitamini E
3)Vipande vya brokoli sawa na kiasi cha madini ya Chuma
4)Mayai 55 sawa na kiwango cha Vitamini D
5)Kikombe 1 cha Spinachi sawa na Vitamini A
6)Ndizi 19 ili kupata madini ya Riboflovini
7)Cheddar Cheese oz 62 kupata Vitamini B - 12
8)Viazi ulaya vikubwa 5 ili kupata madini ya Niasini
9)Vikombe 61 vya nya nya kupata madini ya Folate
10)Tikitimaji 2 kubwa sawa na Vitamini B – 6
11)Cherries oz 17 sawa na kiwango cha ORAC
Uyoga 37 ili kupata kiasi cha Pantothenic Acid

VEMMA Mangosteen hutumiwa na mtu yeyote ili kuzuia mwili usishambuliwe na magonjwa. Iwapo upo makini na afya yako basi usisubiri hadi ugonjwa ukupate tafadhari anza sasa kutumia VEMMA Mangosteen .
Kwa wenye ugonjwa au matatizo ya afya tafadhari wasiliana na wataalamu wetu kwa maelekezo ya utumiaji

bidhaa hizi zinapatikana katika kampuni ya VEMMA NUTRITION COMPANY (T) LTD AROMA HOUSE BIMA ROAD – TABATA P.O.BOX 40865 DAR ES SALAAM, hata mikoani unaweza kupata, piga simu ya mwakilishi wetu namba 0716 299 399

VEMMA NI BIDHAA 5 NDANI YA CHUPA 1
V= Vitaminiaina 12
E= Essential
M= Minerals aina 65
M= Mangostee - tundaGaciniamangostana
A= Alovera …+ Chaiyakijani (green tee)
Hapandipomaajabuyamadaktariwa VEMMA yalipokuwekamchnganyikowotekwenyekimiminikakimojayaanindaniyachupamoja
Hojazote email: vemmatz@gmail.com
 
naweza kutengeneza mwenyewe? na nyie mnauza bei gani?
 
karibuni mnaohitaji maelezo ya kina. unaweza kuni PM au kupiga simu
 
Tayari bidhaa hii imeleta matokeo mazuri kwa afya za wengi. PM au piga simu kwa maelezo zaidi 0716299399
 
Anza 2015 kwa afya njema, ukiyatupilia mbali maradhi. Nimeamua kutoa punguzo la bei hadi asilimia 35. Punguzo hili ni kwa mwezi january tu.
 
UWONGO!!!!!!!!!!!. Hii wala siyo tiba hata kidogo. Nina watu wengi sana wamedanganywa wakatumia kwa ajii ya sukari, gauti, na mambo mengi tu. Walidanganywa eti ukitumia seti tatu, kwa maana ya chupa mbili mara tatu unapona. Watu wakajitosa kununua. Wanapotumia wanaona kweli makali ya tatizo kama hayaongezeki, mara zingine wanaweza kudhani wamepona, lakini kila mmoja wao ninaowafahamu 100%, alipomaliza kutumia, tatizo liko pale pale na tena kasi ya ugonjwa inakuwa juu.

Hizi biashara za kuuza supplements kwa mtandao zinakosa maana kama hamtakuwa wa kweli. Mwambie mtu uhalisia ili anunue akijua.

Acheni kuwashawishi watu ili mpandishe majina yenu kwenye mtandao mpate credits na bonus nyingi, huku mnajua ni uwongo.

NA UKIMALIZA HIZO DOSE WANAZOKUAMBIA, UMESHAWAPA CREDITS NA BONUS, HATA KUPITIA KWAKO HAWAPITI TENA. WANAENDELEA KUDANGANYA WENGINE.

DHAMBI!!!!!!!!
 
Tafadhari usidanganyike. Ninaijua vizuri vemma, haitibu chochote. Ni virutubisho tu vya kupunguza makali ya tatizo lakini si tiba si chochote. Na ubaya bei gari. Lakini mwambieni aseme kweli. Anchotaka ni kupata soko auze nyingi ili jina lake lipande, apate credits and bonus nyingi!.

UWONGO MKUBWA!.


Je na mwanza mpo na kama mpo maeneo gani?
 
Acha uwongo wewe. Usidanganye watu. Vemma haitibu chochote!.mimi niliambiwa na ma professor kama wewe kwamba ni dawa, nikawaambia na watu wengi tu niliowafahamu, na nikaona na watu wengine ofisini kwetu wamehamasika kununua. Ni juice tamu, lakini si dawa!.

Waambie watu ukweli kwamba ni kirutubisho tu cha kuimarisha mwili ili usidhoofike kwa maradhi lakini vemma haitibu chochote.

Watu wengi ninaowafahamu wlaikunywa hizo chupa mbilimbili mara tatu kwa maelekezo yenu na walinunua kwa hayo malaki ya pesa lakini mwisho wa siku hakuna hata aliyepona na badala yake tatizo linakuja kwa kasi.

Pamoja na kwamba unataka credits and bonus nyingi,uwongo kwenye biashara ni dhambi!!!!!!!!!!!

Acha kudangaya watu hapa!.

Usicheze na afya za watu wewe!.

karibuni mnaohitaji maelezo ya kina. Unaweza kuni pm au kupiga simu
 
Yale Yale ya akina Fetelawa sasa sijuhi NATO imezikwa makaburi yapi ya kinondoni ama kisutu,tatizo mnatafuta utajiri kwa njia nyingi za kit spell mwishowe mnawaletea umaskini Wateja wenu kama babu samunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…