Habari za mda huu wakuu.
kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Naomba kuuliza ni sababu zipi zinazosababisha masikio kutengeneza nta/uchafu mwingi ambao hupelekea masikio kuziba..
Pia, tiba gani au dawa gani inaweza kusaidia kupunguza nta mwingi masikio kama sio kutibu kabisa.
Natarajia kupata majibu mazuri kutoka kwenu wadau.
Asante