Tiba ya matatizo ya uvimbe tumboni kwa wanawake

Tiba ya matatizo ya uvimbe tumboni kwa wanawake

kongobelo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2012
Posts
372
Reaction score
489
Habari wadau,

Nina dada yangu ambaye anasumbuliwa na ugonjwa wa tumbo kuuma kila inapofika kwenye tarehe zake. ameolewa kama miaka 3 iliyopita ila hajabahatika kushika ujauzito. alienda hospitali akapimwa akaambiwa ana uvimbe akafanyiwa upasuaji ila hakupata nafuu hadi leo ni kama mwaka mmoja na nusu. ametumia kila aina ya tiba ila hakuna nafuu. sasa ni kama miaka 6 hana raha ya maisha kila tarehe zikifika...Juzi amepima pale Muhimbili na ameonekana na uvimbe mwingine,kwa sasa hajafanya operesheni ya pili anaangalia kama anaweza pata tiba mbadala ya kurusha uvimbe. ana clinic pale muhimbili.

ninahitaji ushauri wenu wadau kama kuna ambaye anauelewa au kama alipona.

natanguliza shukrani zangu..
 
nina ndg yangu hakika bila kubahatisha tena alikuwa na rekodi kama hiyo yani alipasuliwa, na uvimbe ukarudi tena ajabu alienda hapo ilala bungoni foreplan alipewa dawa zingine anachanganya na asali hakika sasa hivi mzima wa afya ,ispokuwa bei zao zimechangamka almost 200~250elfu
 
Poleni sana kwa matatizo hayo. Ni wengi wamepatwa na matatizo hayo kutoka na maisha ya sasa,vyakuka tunakula na madawa mengi tunayotumia. Ushauri mala zote huwa tunasema anzia hospitali, lakini ikishindikana jaribu njia zingine. Mimi ni distributor wa foreverliving tuna bidha nyingi zimewasaidia sana watu wenye tatizo kama lako. kama utapenda njoo tuonane nikuelekeza bidhaa gani zitakufaa.Kifupi bidhaa za aloe vera na zingine zimewafaa wengi wenye tatizo kama lako unaweza kunipata kwa email: apronius2000@yahoo.co.uk. mobile +255 756 514 644/715 514 644
 
Mungu amsaidie hasipate operesheni ya pili, fuata ushauri uliopewa hapo juu
 
Poleni sana.kuna doctor mwanza anatibu matatzo hayo ya uvimbe tumboni kwa njia ya tiba mbadala(tiba asili)ni mtalaamu sana,kama uvimbe tu atapona.shemeji yangu alikuwa hivyo lakini baada ya kuonana na yule daktari akaanza tiba baada ya mwezi mmoja alipoenda kupima akakutwa hana uvimbe,dawa zake ni nzurisana.pia hata dawa za kizaz anazo!kama ndug yako hajabahatika kupata mtoto naamini anaweza pata.kama unaweza wasiliana nae 0759217720
 
Asante kwa ushauri wadau.ngoja nichjkue namba hizo kwa ajili ya mawasiliano then nitarudi hapa...
 
Back
Top Bottom