kiwiko
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 1,341
- 2,214
Habarini wakuu. Nini tiba ya mfupa uliovunjika zamani na kupona kusikia baridi ukiwa maeneo ya baridi kali kama Mbeya, Iringa na Arusha.
Ukiwa maeneo ya joto kama kanda ya ziwa au Dar baridi halisikiki tena hio sehemu.
Naomba ushauri jinsi ya kupambana nao maana ni kero unapokua maeneo ya baridi.