Ukifanya operation haiwezkn au ni ipoje 🤔Asante sana
Ni kama jipu fulani ila liko kwa ndani
Nikienda hospitali napewa tu dawa za maumivu.
Nikinywa unapotea, ila ni lazima urudi
kwa maelezo yako tu nimegundua hilo tatizo lipo kwenye ugio la paja na kiunoNina hili tatizo la muda mrefu la kurudia kwa mtoki wenye maumivu makali karibu kila mwaka.
Kuna wakati nashindwa hata kutembea maana umekaa sehemu mbaya.
Nikibonyeza naushika ila uko kwa ndani na ni kama jipu gumu linalouma kwa ndani.
Sina ugonjwa wowote wa zinaa wala maambukizi ya VVU.
Na wakati mwingine hupelekea kulala nikiwa nimepiga msamba kitandani ili kuepuka kujitonesha mtoki.
Madokta wa humu, naombeni msaada maana niliambiwa niweke barafu, nikaweka ila sijapata nafuu.
Na huwa unakuja karibu kila mwaka.
Unanisumbua karibu wiki 2 kisha unapotea wenyewe.
Picha ningetuma ila mtoki umekaa sehemu mbaya katika mwili wangu.
Ila kiukweli mtoki unauma sana jamani.
Asante sana.Pole Sana, jaribu kukojolea moto mkali ukisha maliza kukojoa ruka huo moto!
Njia nyingine mwagia chumvi ya mawe kwenye moto, kojolea moto harafu ruka huo moto leongo ule mvuke au majivu yaguse sehemu husika kama upo peke yako unaweza ruka ukiwa uchi!
Dead whore 🤣.Amesahau juzi tu katoka kutumika Dubai.
Lymph nodesMtoki ndo nn madam nuuh pole sana,
Wasikilize hospitaliEti ee
Ukifanya operation haiwezkn au ni ipoje 🤔Asante sana
Ni kama jipu fulani ila liko kwa ndani
K inatumika sana mtoki lazima.Itakua Ile ruti yako ya Dubai.