J JERRY JF-Expert Member Joined Feb 18, 2009 Posts 630 Reaction score 502 Jul 12, 2011 #1 Mzee wangu anasumbuliwa sana na nyongo. Je tiba yake ni nini? Naomba ushauri, yaani akila maharage ndo balaa. Wkt mwingine ikizidi mpaka huwa anatapika. Please help
Mzee wangu anasumbuliwa sana na nyongo. Je tiba yake ni nini? Naomba ushauri, yaani akila maharage ndo balaa. Wkt mwingine ikizidi mpaka huwa anatapika. Please help