Piles yako ni ya kutoka nje kwenye sehemu yako ya siri au unatowa damu wakati wa kwenda haja kubwa?
Ushauri wangu nenda Hospital ya Hindu Mandal kuna Ma Doctor watakufanyia operation ya kuiondowa kabisa na ikiwezekana uwe unakula vyakula vilaini ili uweze kupata haja kubwa kwa wepesi.
Piles au kwa Lugha yetu ya kiswahili inaitwa Bwawasiri au Futuru ni maradhi ya kawaida hayo nenda Hospitali kufanyiwa Operation.