Tiba ya tatizo la kutosia vizuri

Joined
Mar 8, 2014
Posts
60
Reaction score
11
Habari yenu wana jf doctor, mimi nahitaji dawa ya kunitibu tatizo la kutosikia vizuri,

Tatizo langu sio kubwa sana, kwani naweza kukaa na watu kwa muda mrefu na wasijue kama nina tatizo hilo, kuna wakati napata shida ya kusikia,
Naweza kukaa na watu tukaongea vizuri tu bila kuuliza mara mbilimbili walichosema, aidha tatizo langu linaonekana sio la kuhitaji mtu aongee kwa sauti kubwa, kwani unaweza kuongea kwa sauti kubwa na nisikusikie,

Sikuwahi kwenda hospital kucheck hili tatizo.
 
pole sn mdau.nashauri kabla ya chochote nenda pale shule ya uhuru mchanganyiko ulizia Braille Press watakuonyesha hapo utakutana na ma audiologista watakupima kujua una uwezo kiasi gani cha kusikia(residual hearing) then watakuelekeza cha kufany.Yawezekana ni ear wax tu imezidi so watakusafisha ila ni pm pia kwa maelezo zaidi
 

Nimekupata mkuu, ngoja nikuche pm.
 

Mkuu nimeshindwa kuku pm kwani naambiwa sijafikisha post 5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…