Ugonjwa unatibika tena bure kabisa na kwa dawa rahisi sana kutegemeana na anapoishi mgonjwa. Kama unamjua ama una ugonjwa huu au hata dalili, wahi hospitali yoyote ya serikali. Matibabu yake sio ya vidonge tu, lakini yana maelezo marefu ya lifestyle ambayo inabidi kupata kutoka kwa daktari.