mukeyamasaifake
New Member
- Mar 12, 2024
- 4
- 1
Habari za muda wakuu!!!
Jmani naomba msaada kwa anaejua dawa ya kienyeji ya PUMU ya ngozi.
Mwanangu anasumbuliwa sana nahuu ugonjwa, nimeshampeleka MUHIMBILI, EKENYWA, REGENYCY na tukapewa dawa na mafuta ya kupaka ya EPIMAX JUNIOR. Anapona kwa muda ila baadae inaanza tena.
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu.
Samahani, ndemwai ni nn?Pole kwa mtoto, kama unaweza kupata ndemwai tumia hiyo kumpaka na kumpa kunywa asubuhi na jioni apata kuondokwa na hayo maradhi,maana inatibu pumu aina zote
Ni utomvu wa mti unaoitwa ndemwai nazani unapatikana manyara pekee.Samahani, ndemwai ni nn?
Pumu ya ngozi (eczema) ni tatizo linaloanzia damuni.bahati mbaya hospitali nyingi watakupa tyubu za kupaka nje ,tatizo litapoa na kurudi. Napendekeza tafuta mimea mitatu ifuatayoHabari za muda wakuu!!!