Mutanaka Mumbai
Member
- Jan 5, 2019
- 14
- 5
Habari ya muda huu.Rejea kicha cha habari hapo juu,ni kwamba nina tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu sana(karibia miaka 15)na hii imesababishwa na tabia ya kujichua kwa muda mrefu sana.
Baadhi ya athari nilizopata kutokana na kujichua.
(1) Uume kutosimama vizuri wakati wa tendo la ndoa,pamoja na kutosimama kabisa muda wa asubuhi.
(2) Kuwahi kumaliza mapema wakati wa tendo la ndoa.
Nimetumia dawa nyingi sana za mitishamba bila mafanikio yoyote,hivyo kwa yoyote anayefahamu dawa inayoweza kunitibu naomba tufanye mawasiliano kupitia PM.(Jamii Forums) au mawasiliano yoyote atakayopenda.
Natanguliza shukrani sana kwa yoyote mwenye nia njema ya kutatua tatizo zangu.
N:B.Samahani kwa makosa ya uhandishi maana sio mwandishi mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app