Tiba ya uti ni ipi?

Tiba ya uti ni ipi?

Umetumia dawa zipi? Mm niwahi kusikia kuwa penicilin5 (penv) ndo drug of choice kwa UTI wenyewe wanaisema ni broad spectrum. Ila pia Ciprofelexin nayo iko vzr
 
Choma sindano, za dawa ya UTI pia ili isikusumbue jizoeshe kunywa Maji mengi kuanzia Lita mbili kwa siku UTI itakuwa historia. Mi njia ya kunywa Maji inanisaidia sana
 
sio gono?kama gonjwa la zinaa muende na mpenzi wako mpate tiba.
 
Kuna dawa inaitwa Ciprodenk ni vidonge 10 @ 2000 itafute mpaka uipate zipo za German but usinunue izo
Usipopona nitafute tena lakini sizani kama utaacha kupona hivyo sitegemei unitafute
 
Back
Top Bottom