Umetumia dawa zipi? Mm niwahi kusikia kuwa penicilin5 (penv) ndo drug of choice kwa UTI wenyewe wanaisema ni broad spectrum. Ila pia Ciprofelexin nayo iko vzr
Choma sindano, za dawa ya UTI pia ili isikusumbue jizoeshe kunywa Maji mengi kuanzia Lita mbili kwa siku UTI itakuwa historia. Mi njia ya kunywa Maji inanisaidia sana
Kuna dawa inaitwa Ciprodenk ni vidonge 10 @ 2000 itafute mpaka uipate zipo za German but usinunue izo
Usipopona nitafute tena lakini sizani kama utaacha kupona hivyo sitegemei unitafute