Ushauri wa msingi uende hospital ukamuone dkt wa meno ambao taya ni eneo lao LA ubobezi atakupatia msaada kulingana na tatizo lakoMatumaini yangu mu wazima,
Ninahitaji msaada wa haraka, nimetokewa na uvimbe mdogo size kama tunda la mzabibu ni kidogo kwa nje hakionekani isipokuwa nikishika sehemu hayo ya taya ndipo nikibinya taratibu nasikia kinauma. Ila pasipo kukitafuta nikakibinya sisikii maumivu kabisa, ninatafuta vizuri naachama vizuri nageuka vizuri.
Ninaomba kujua hili tatizo gani na linasababishwa na nini. Pia naomba nipatiwe tiba yake.