pake asali mwanao katika hizo sehemu zinazofanya upele Inshallah upele utamuondoka. Au Dawa nyengine mpake mafuta ya Habbat Sawda! Inshallah itamsaidia.
Au tumia dawa hii uchukue kitunguu Saumu ukitwange mpaka kiwe laini kisha uchukuwe maji ya moto uoshe sehemu zenye